Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo

Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo
kiungo : Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo

soma pia


Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo

Hii Hapa Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo
Pazia la Ligi Kuu soka Tanzania Bara linatarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi hii leo kwa timu mbali mbali kuingia uwanjani na kuanza kwa michuano hiyo mikubwa kabisa hapa nchini.

Msimu huo mpya wa Vpl wa mwaka 2017/2018 wenye jumla ya timu 16 unaanza kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti.
Mabingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) na Ngao ya Jamii, Simba SC leo itatupa karata yake ya kwanza kwa kuwavaa Ruvu Shooting, wakati michezo mingine itakayo pigwa ni Ndanda FC dhidi Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, huku Mwadui FC ikikipiga na Singida United.

Michezo mingine ni Mtibwa Sugar itakayocheza na Stand United, Kagera Sugar dhidi ya Mbao FC, Njombe Mji FC ikitarajia kutupa karata yake ya kwanza kunako Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons wakati mchezo wa mwisho ni vijana wa Manispaa ya Mbeya timu ya Mbeya City ikiingia dimbani kukipiga dhidi ya Majimaji FC ya Songea.

Wakati Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Dar es salaam Young Africans ikatarajia kuingia uwanjani hapo kesho  Agosti 27 mwaka huu kumenyana na Lipuli FC.


Hivyo makala Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo

yaani makala yote Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ratiba-ya-msimu-mpya-201718-ligi-kuu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ratiba ya Msimu Mpya 2017/18 Ligi Kuu soka Tanzania Bara Kuanza Leo"

Post a Comment