HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO

HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO
kiungo : HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO

soma pia


HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO

Mrembo wa Miss Lake Zone na Miss Mara, 2014 Sasha Kassim.
KIPINDI cha nyuma wauza nyago ‘video queen’ wengi katika video za Kibongo walikuwa hawavumi sana zaidi ya kuonekana kama watu wa kawaida.

Wengi waliokuwa wakivuma ni wanamitindo kama vile Magesse, Jokate, Flavian Matata na wengineo, lakini katika kuvuma kwao ilikuwa ni kupitia kazi wanazofanya yaani mitindo.

Kwa siku za hivi karibuni kidizaini kama upepo umebadilika kwani wanaovuma sana ni wauza nyago katika video za Kibongo. Wanavuma kila kona kuanzia kwenye vyombo mbalimbali vya habari hadi mitandao ya kijamii yaani Facebook, Instagram, WhatsApp na Twitter.

Muuza nyago machachari Bongo, Gift Stanford `Gigy Money’.
Kwa asilimia kubwa kuvuma kwao si kupitia kazi tu bali tabia na mienendo yao. Wamekuwa ‘pasua kichwa’ Bongo kwa mavazi ya nusu utupu wanayopia mtandaoni kiasi cha kutukanwa mara kwa mara na mastaa pamoja na mashabiki wao.
Kama ilivyo kwa Amber Lulu, Gigy naye amekuwa akitupia picha hizo na pia kukwaruzana mara kwa mara na watu wanaomponda mitandaoni. Kwake naye ni pasua kichwa kwa kuvaa nusu utupu.


Video queen mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’.
SANCHI
Ni muuza nyago na mwanamitindo ambaye amekuwa akiongelewa sana katika mavazi anayotupia ya nusu utupu. Mara nyingi amekuwa akiachia picha katika mitandao zinazomuonesha asilimia kubwa ya mwili wake.


Naye anaingia katika listi hii kama mmoja kati ya wauza nyago pasua kichwa katika suala la kutinga nusu utupu. Modo huyu ambaye yupo kwenye video kadhaa Bongo ikiwemo Nundu ya Harmorapa, picha zake nyingi mitandaoni zinamuonesha akiwa nusu utupu hususan suala la kifua.


Mwanadada machachari Bongo, Lulu Eugen ‘Amber Lulu.

Licha ya kuuza nyago, kwa sasa naye amejiingiza kwenye muziki wa Bongo Fleva akiwa na ngoma zake mbili, Watakoma na Only You kutupia picha akiwa anakula ‘fegi’ huku yupo nusu utupu si hatari sana kwake.


AGNESS MMASSY
Anaongoza kwa ‘kuchambwa’ mitandaoni kutokana na picha anazotupia. Ni modo mpya ambaye amekuwa gumzo kwa picha zake tata.


AMBER RUTTY

Ni miongoni mwa wauza nyago wapya ambaye ni pasua kichwa kwelikweli. Anaongoza kwa kutupia utupu asilimia kubwa


Hivyo makala HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO

yaani makala yote HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/hawa-ndio-mastaa-pasua-kichwa-bongo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HAWA NDIO MASTAA PASUA KICHWA BONGO"

Post a Comment