OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu

OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu
kiungo : OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu

soma pia


OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu


OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu
STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amesema kuwa kuanzia leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani atapambana kuhakikisha anafunga na kuipa ushindi timu yake.

Okwi aliyesajiliwa na Simba kwa mara nyingine akitokea SC Villa ya Uganda, licha ya kucheza michezo sita hadi sasa ukiwemo wa Yanga, amefunga mabao mawili pekee.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Okwi amesema kutokana na kutofunga mabao mengi, atajitahidi kuanzia leo kwenye mchezo dhidi ya Ruvu afunge ili kuipa ushindi Simba.

“Sipo tayari kuiona timu yangu inakosa matokeo, hivyo nitapambana leo nifunge ili tupate ushindi ambao mashabiki wetu wanahitaji.

“Lakini ili niendelee kulilinda jina langu lisishuke basi nitahakikisha nafunga kila mchezo ulio mbele yangu kwa maana kikosi chetu ni kizuri na kuna watu wazuri na wenye uwezo mkubwa, hivyo ushindi kwetu ni lazima kwa kila mchezo,” alisema Okwi.


Hivyo makala OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu

yaani makala yote OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/okwi-nitapambana-na-kuipa-ushindi-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OKWI: Nitapambana na Kuipa Ushindi Timu Yangu"

Post a Comment