title : Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud wakati alipowasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi Kikwajuni kupokea Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Serikali katika Mkoa wa Mjini Magharibi kabla ya kuaza ziara yake katika mkoa huu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia ngoma ya MwanaNdege akikaridishwa katika viwanja hivyo kwa ajili ya kuaza ziara yake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi la zamani kuaza ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-dk-ali-mohamed-shein.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein , Aaza Ziara yake Katika Mkoa wa Mjini Magharibui Unguja."
Post a Comment