title : Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
kiungo : Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake wakati akielekea kwenye Dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais wa Uganda Yoweri Musevi katika Ikulu ya Tanga. Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
yaani makala yote Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-uganda-yoweri-museveni-awasili.html
0 Response to "Rais wa Uganda Yoweri Museveni Awasili Mkoani Tanga na Kufanya Mazungumzo na Mwenyeji Wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli."
Post a Comment