title : RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI
RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri katikl idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana
familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri katikl idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana
familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri katikl idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sini katika kitabu cha maombolezi nyumbani kwa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri katikl idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mama Mary Mdachi, mjane wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-atoa-pole-katika.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE KATIKA MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DKT STEPHEN JUMA MDACHI"
Post a Comment