title : RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO.
kiungo : RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO.
RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO.
RAIS John Pombe Magufuli amesitisha zoezi la bomoabomoa la nyumba 300 zilizojengwa katika bonde la Tuangoma wilayani ya Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa agizo la kusitisha ubomoaji wa nyumba zilizopo katika mtaa wa masaki kata ya toangoma mchana huu ikiwa niAgizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli.
Pia amesema kuwa zoezi la bomoa bomoa linapaswa kufanywa kwa kufuata taratibu za Ardhi na sheria za nchi.
Makonda amesema kuwa atamwomba Rais na Wizara ya ardhi kuweka Afisa ardhi katika kila kata ya mkoa waDar es Salaam ili kuepusha migogoro ya ardhi inayosabisha na viongoz wa mitaa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi wa Tuangoma wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam na kusitisha bomoa bomoa iliyokuwa ikiendelea katika eneo hilo. Pia amewaomba kujiepusha na kujenga nyumba za kuishi katika maeneo hatarishi.
Baadhi ya wananchi wa Tuangoma Wilayani Tameke wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea eneo lao na kuzungumza nao.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitembelea maeneo yanayofanyika operesheni ya Bomoa bomoa.
Baadhi ya Nyumba ambazi zilitakiwa kubomolewa ambazo zimepona na Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili sheria za Ardhi zinatakiwa kufuatwa.
Hivyo makala RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO.
yaani makala yote RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-asitisha-ubomoaji-wa-nyumba-300.html
0 Response to "RAIS ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 300 TUANGOMA JIJINI DAR LEO."
Post a Comment