Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana

Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana
kiungo : Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana

soma pia


Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.

Hatimaye Raia wa Afrika Kusini, Menelaos Tsampos anayekabiliwa na tuhuma za kutishia kwa njia ya mtandao amepatiwa masharti ya dhamana.

Amesomewa masharti hayo na hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha wa mahakama ya Hakimuh Mkazi kisutu ambapo anatakiwa kuwa na wadhamini wawili wataoweka dhamana ya sh.milioni 20.

Hakimu Mkeha amesema, katika wadhamini hao wawili mmojawapo lazima awe ni raia wa Tanzania na ikitokea mdhamini mwingine ni raia wa nje ya nchi lazima awasilishe hati yake ya kusafiria mahakamano, mshtakiwa pia anatakiwa kuwasilisha hati yake ya kusafiria mahalamani na antakiwa kuripoti katika kituo cha polisi cha kawe mara moja kwa wiki.

Kabla ya kusomewa masharti ya dhamana, Hakimu Mkeha amesema
Hakuna sababu ya mshtakiwa kunyimwa dhamana eti kwa sababu ni raia nje na pia katika Maelezo yaloyotolewa inaonyesha hati yake ya kusafiria iko polisi.

Mshtakiwa huyo anakabiliwa na makosa manne ambapo anadaiwa June 22/2017 maeneo ya DSM kupitia mfumo wa Kompyuta alituma ujumbe wa E-mail uliokuwa na maneno ya vitisho kwa mtu anayeitwa Costa Gianna, ikiwa ni kinyume na sheria ya mtandao kifungu cha 23(1) na (2) namba 14 ya mwaka 2014.

Pia anadaiwa kukutwa na visa ya kugushi na kwamba ameishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka minne bila kuwa na kibali
Raia wa Kusini, Menelaos Tsampos anayekabiliwa na tuhuma za kutishia kwa njia ya mtandao, kuishi nchini bila kibali na kupatikana na visa ya kughushi akijadiliana na mawakili wake mahakamani hapo.


Hivyo makala Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana

yaani makala yote Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/raia-wa-africa-kusini-apata-masharti-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Raia wa Africa Kusini apata Masharti ya dhamana"

Post a Comment