PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA.

PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA.
kiungo : PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA.

soma pia


PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA.

 Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Katikati), akizungumza na wafanyabiashara wanaotoa huduma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), wakati alipofanya kikao cha pamoja, leo Jijini Dar es Salaam.
 Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Kaimu MKurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Salim Msangi (Kulia), wakati alipokagua sehemu ya kuingilia abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), leo jijini Dar es Salaam.
Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na wafanyabiashara wanaotoa huduma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), wakati alipofanya kikao cha pamoja, leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa Mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) kulipa kodi ya Majengo kama mikataba yao inavyolekeza.

Waziri Mbarawa ametoa agizo hilo leo wakati alipokutana na wafanyabiashara hao ili kujadili changamoto mbalimbali zilizopo na jinsi ya kuzitatua ili kuendelea kutoa huduma bora katika uwanja huo.

“Kulipa kodi za majengo hapa ni suala la lazima, hivyo ifikapo Septemba mwishoni nataka kuona wafanyabiaashara wote mmeshalipa kodi ya pango, makusanyo haya ni muhimu kwetu ili tuendelee na hatua nyingine za uboreshaji wa viwanja vya ndege na huduma nyinginezo.” Amesisitiza Profesa Mbarawa.


Hivyo makala PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA.

yaani makala yote PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/profesa-mbarawa-atoa-mwezi-mmoja-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA."

Post a Comment