IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO

IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO
kiungo : IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO

soma pia


IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa  Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini katika kikao kazi cha maelekezo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu.
  Mkuu wa Utawala wa Makao Makuu ya Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo, akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu.
 
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)  Zarau Mpangule, akitoa mada wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania isiyo na uhalifu. 
Picha na Jeshi La Polisi.


Hivyo makala IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO

yaani makala yote IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-afanya-kikao-na-maofisa-wa-makao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP AFANYA KIKAO NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU NA WAKUU WA VIKOSI NA VYUO"

Post a Comment