NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI

NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI
kiungo : NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI

soma pia


NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI

Maonyesho ya nane nane yanatakiwa kuweka alama chanya na kuwa na sura ya mabadiliko yanayoonekana kwa macho kwa wakulima na wafugaji wanaoshiriki pamoja na wananchi wanaopata huduma na bidhaa katika maonyesho hayo.

Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa maadhimisho ya nanenane kanda ya kati ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Chimbi ametoa rai hiyo mapema jana kwa wakulima, wafugaji na washiriki wakati akifungua rasmi maonyesho hayo huku akiwataka washiriki hao kuitumia fursa hiyo kwa manufaa zaidi.

“Ni vizuri maadhimisho ya Mwaka huu yakaonesha mabadiliko chanya kwa washiriki mliojitokeza katika kuonesha bidhaa zenu mbalimbali na pia kwa wale wote waliofika kwaajili ya kununua au kupata maelezo ya matumizi ya bidhaa hizo, wapate kitu tofauti kitakachooneka katika maisha yao”, amesema.

Dkt Rehema Nchimbi ambaye ametumia muda usipungua dakika 45 kusisitiza umuhimu wa kuwekeza katika kilimo na ufugaji wenye tija ili kuendana na falsafa ya serikali ya awamu ya Tano inayo himiza zaidi Uchumi wa Viwanda.

Aidha ameliomba Jeshi la Magereza na wawekezaji wote wa ndani na nje ya Nchi wafike kuwekeza katika mikoa ya Singida na Dodoma na kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma watahakikisha wanatengeneza mazingira rafiki kwa kila atakayekuwa tayari kuwekeza katika Mikoa hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akitazama bidhaa za mbogamboga katika banda la Wilaya ya Kondoa katika maonyesho ya nanenane kanda ya kati yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, Manispaa ya Dodoma. 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mkoa wa Singida katika maonyesho ya nanenane kanda ya kati yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, Manispaa ya Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akipokea zawadi ya kikapu kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dodoma SACP Julius Sang’udi alipotembea banda la jeshi la magereza kujionea bidhaa wanazotengeza katika maonyesho ya nanenane kanda ya kati yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, Manispaa ya Dodoma.


Hivyo makala NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI

yaani makala yote NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/nanenane-iwe-na-faida-inayoonekana-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NANENANE IWE NA FAIDA INAYOONEKANA KWA MKULIMA, MFUGAJI NA KILA MSHIRIKI- DKT NCHIMBI"

Post a Comment