title : MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia....
kiungo : MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia....
MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia....
Unaweza ukawa na shep kama umeshushwa vile, yaani hujazaliwa, lakini kama huna bahati ni kazi bure. Utakuwa na furaha kipindi ambacho umevaa nguo tu unatembea huku wanaume wakikuangalia kwa macho ya tamaa na kukusifia.
Jiheshimu, mheshimu ulokuwa nae, kisa una shep, unaamini hata ukiachwa Leo utapata mwingine. Utamaliza waganga ukitafuta mume. Wenzako na shep zao za mstatili wanaolewa tu, shauri yako .
Mwanaume pesa zisikupe kiburi, utaishia kupendwa na wanawake wanaokuja kwa ajili ya hela zako tu, kisa umepata hela unamdharau mloanza nae maisha , kuanzia ukiwa kapuku mpa unaitwa boss,unamwambia sio hadhi yako, utakuwa unamkosea sana.
Usidharau ulichokuwa nacho. Kikitoweka utakikumbuka
Laana sio lazima uipate kwa mzazi alokuzaa tu.
Ujana haubagui.
Hivyo makala MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia....
yaani makala yote MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia.... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia.... mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mwanamke-usiringie-shepu-mwanaume.html
0 Response to "MWANAMKE Usiringie Shepu, Mwanaume Usiringie Hela, Bahati tu ndo ya Kuringia...."
Post a Comment