title : TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR
kiungo : TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR
TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR
FAMILIA ya marehemu mzee Julius Vincent Kibaja wa Makongo Juu inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Joyce Crara Kibaja kilichotokea tarehe 5 /7/2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Kitengo cha Mifupa Moi.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki kokote walipo.Taratibu zote za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu Makongo Juu na mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 14/7/2018 katika Kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza mkoani Tanga.
... Kwa maana mimi sasa namiminwa na wakati wa kufariki kwangu umefika ...Nimepiga vita vilivyovizuri mwendo nimemaliza imani nimeilinda ...2 Timotheo 4:6-7.
Hivyo makala TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR
yaani makala yote TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/taarifa-ya-kifo-cha-joyce-crara-kibaja.html
0 Response to "TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR"
Post a Comment