title : Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa
kiungo : Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na wananchi wa Kisiwa cha Uzi Ngambwa wakati wa ujenzi wa madarasa ya Skuli ya Msingi Ngambwa Uzi inayojengwa na Mbunge na Mwakilishi na nguvu Wananchi wa kijiji hicho.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Uzi Ngambwa jimbo lake wakati wa ujenzi wa Taifa wa madarasa ya Skuli ya Msingi Ngambwa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Uzi Ngambw wakati wa ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Ngambwa. inayojengwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo la Tunguu na Nguvu za Wananchi wa Kijiji hicho.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar akishiriki katika ujenzi huo wa Skuli ya Msingi Ngambwa Uzi.
Hivyo makala Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa
yaani makala yote Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mwakilishi-wa-jimbo-la-tunguu-ashiriki_22.html
0 Response to "Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ashiriki Ujenzi wa Taifa wa Skuli ya Msingi Uzi Ngambwa"
Post a Comment