title : Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019.
kiungo : Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019.
Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019.
Kiongozi wa Timu ya Malindi Sports Club akizungumza na Wachezaji wake baada ya kumaliza mazoezi yao ya asubuhi katika Uwanja wao wa Mnazi Mmoja wakijiandaa ni Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa msimu mpya baada ya kupanda daraja mwaka huu na kushiriki Ligi Kuu ya Zanzibar.
Timu ya Malindi Sports Club imepanda daraja na Timu ya Mlande Sports Club baada ya kusota daraja la kwanza na kufanikiwa kurudi katika Ligi Kuu ya Zanzibar kwa msimu huu wa Mwaka 2018/2019.
Hivyo makala Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019.
yaani makala yote Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kikosi-cha-timu-ya-malindi-sports-club.html
0 Response to "Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club Kikijinoa na Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa Mwaka 2018/2019."
Post a Comment