MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO

MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO
kiungo : MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO

soma pia


MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO



Afisa miradi ya elimu kwa masharika yasiyo ya kiserikali ubalozi wa Sweden nchini, Stephen Chimalo akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS kwa wadau kutoka asasi za elimu kwa mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro iliyoandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met).
Afisa miradi wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), Alistidia Kamugisha akizungumza jambo katika mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu hoteli ya Flomi mkoani Morogoro.
Mtaalamu wa masuala ya IT Mtandao wa elimu Tanzania, Dominic Dogani akifafanua jambo kwa wadau wa mafunzo hayo wakati wa kujadili mada kupitia vikundi.
Mwanaidi Juma (Katikati) kutoka shirika la Morogoro Saving The Poor Organization (Mosaporg) akiwa na wadau wenzake wa elimu wakati wakiwajibika katika majukumu ya kujifunza mafunzo hayo.

Mratibu wa shirika la Youth Movement For Change (YMC) la mkoani Singida, Fidelis Yonde kushoto akijadiliana jambo na washiriki wa mafunzo hayo.



Hivyo makala MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO

yaani makala yote MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mtandao-wa-elimu-tanzania-wahitimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTANDAO WA ELIMU TANZANIA WAHITIMISHA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU WA ASASI ZA ELIMU KWA MIKOA SITA MORO"

Post a Comment