MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA
kiungo : MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

soma pia


MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.
Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa
Beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea sasa hivi Uwanja wa Taifa
Golikipa Rostand Youthe akiruka juu na  kudaka mpira akiwa sambamba na mshabuliaji wa Simba Emanuel Okwi.
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima akipiga pigo la adhabu nje ya kumi na nane
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akipambana na beki wa kati wa Simba Salim Mbonde katika mchezo wa ufunguzi wa ligi Ngao ya Jamii.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

yaani makala yote MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mtanange-wa-yanga-na-simba-ngoma-bado.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA"

Post a Comment