UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ

UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ
kiungo : UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ

soma pia


UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ

 
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, imetaja sababu ya kuwakamata na kuwashikilia kwa muda waandishi wa habari kutoka Kamati Maalum ya Kuwatetea waandishi wa habari duniani (CPJ).

Pamoja na kuwaachia huru, idara hiyo imesema inaendelea kushikilia hati zao za kusafiria kwa uchunguzi zaidi.


Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Novemba 8, 2018 Msemaji wa Idara ya Uhamiaji, Ally Mtanda amesema, ‘’ni kweli idara yetu iliwakamata waandishi hao katika maeneo ya hoteli waliyofikia na kufanya nao mahojiano, kwa sababu tulifanya uchunguzi na kubaini wanaenda kinyume na masharti yaliyoainishwa katika madhumuni ya ujio wao hapa nchini.”
Mtanda amesema, waandishi hao Angela Quintal na Muthoki Mumo waliingia nchini Oktoba 31, 2018 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar na katika madhumuni ya safari yao walisema wanaingia nchini kwa matembezi ya kawaida na viza yao ilikuwa inafikia ukomo Januari 1, 2019.


Hivyo makala UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ

yaani makala yote UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/uhamiaji-yaeleza-sababu-za-kuwakamata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UHAMIAJI YAELEZA SABABU ZA KUWAKAMATA WAANDISHI WA HABARI WA CPJ"

Post a Comment