title : Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli.
Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli,Uongozi wa Shirika la Meli pamoja na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la meli wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Bodi hiyo na Uongozi wa wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo, [Picha na Ikulu] 31/07/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dkali-mohamed-shein.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Akizungumza na Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na Shirika la Bandari, Shirika la Meli."
Post a Comment