MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
kiungo : MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

soma pia


MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto)akisaini mkataba wa Makubaliano (Strategic Assistance Agreement )na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas(katikati) kuhusu utoaji wa fedha hizo dola za kimarekani 224 zaidi ya Shilingi 450 tukio lililofanyika katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson akishuhudia.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akibadilishana mkataba ya makubaliano (Strategic Assistance Agreement) na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akipiga makofi pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas(katikati), na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba wa makubaliano (Strategic Assistance Agreement ) katika ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba huo utakaowezesha Tanzania kupatiwa fedha hizo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas mara baada ya tukio hilo la mkataba wa makubaliano katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam. PICHA-na Mpiga Picha Wetu


Hivyo makala MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

yaani makala yote MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/marekani-kupitia-shirika-lake-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAREKANI KUPITIA SHIRIKA LAKE LA MISAADA LA USAID YAIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 225 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO"

Post a Comment