title : Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I
kiungo : Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I
Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I
Dr, Ali Said Yuusuf Mhadhiri wa Chuo cha Afya, Sayansi na Tiba SUZA akitowa maelezo kwa wananchi na wanafunzi wa Skuli za Sekondari waliohudhuria maonesho hayo na kujiunga na mmasomo kwa muhula ujao wa masomo SUZA. maonesho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Chuo cha SUZA Majestiki Zanzibar.
Mwalimu wa SUZA Suleiman Juma akitowa maelezi ya masono yanayotolewa na SUZA wakati wa maonesho ya kimasomo yanayotolewa na chuo hicho.
Hivyo makala Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I
yaani makala yote Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/maonesho-ya-masomo-ya-yanayotolewa-na.html
0 Response to "Maonesho ya Masomo ya Yanayotolewa na Chuo Kikuu cha SUZA Zanzibar. I"
Post a Comment