title : DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE
kiungo : DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE
DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw. Khamis Ramadhan Abdala kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Aziza Iddi Suwedi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw. Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw. George Joseph Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, kabla alikuwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kuwaapisha rasmi leo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (Picha na Ikulu).
Hivyo makala DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE
yaani makala yote DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkshein-awaapisha-majaji-wa-mahkama-kuu.html
0 Response to "DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE"
Post a Comment