LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA

LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA
kiungo : LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA

soma pia


LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA

Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid (kulia) akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Libya nchini Tanzania, Bw. Saleh Kusa Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam leo. Wawili hao walijadili namna ya kukamilisha taratibu za kukabidhi msaada wa matrekta 10 yenye thamani ya zaidi ya milioni 250 za Tanzania kutoka Libya kwa ajili ya Serikali ya Zanzibar. Matrekta hayo yashawasili jijini Dar es Salaam na wiki ijayo yanatarajiwa kukabidhiwa Serikali ya Zanzibar. Aidha, Kaimu Balozi alisema kuwa Libya imetenga Dola Bilioni 20 kupitia Mfuko wa "Libyan-Africa Investment Portfolio" kwa ajili ya nchi za Afrika. Aliahidi kuwa atahakikisha kuwa sehemu kubwa ya fedha hizo zinaletwa Tanzania. 
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika, Bw. Suleiman Saleh na Afisa Dawati wa Libya, Bw. Nicolas wakifuatilia mazungumzo.
Kulia ni Mkalimani wa Kaimu Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Serikali ya Zanzibar wakifuatilia mazungumzo hayo 
Nazungumzo yanaendelea.
Picha ya pamoja


Hivyo makala LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA

yaani makala yote LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/libya-yaipatia-zanzibar-msaada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LIBYA YAIPATIA ZANZIBAR MSAADA WA MATREKTA"

Post a Comment