Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando

Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando
kiungo : Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando

soma pia


Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando

Mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu Mc Pilipili amepokewa katika kitengo cha dharura cha Hospitali ya Rufaa Bugando, Mwanza baada ya kupata ajali mkoani Shinyanga.

Ofisa uhusiano wa hospitali hiyo, Lucy Joseph amethibitisha kupokewa Mc Pilipili na amesema taarifa zaidi kuhusu hali yake zitatolewa baadaye.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule akizungumzia ajali hiyo, amesema Mc Pilipili alikuwa akimkwepa mwendesha baiskeli katika Kijiji cha Bubiki, Kata ya Mondo mkoani humo.

Amesema mchekeshaji huyo alikuwa akiendesha gari lililopata ajali akiwa na abiria mmoja ambaye naye amepata majeraha.

Katibu Muhtasi wa Kampuni ya Pilipili Events, Stella Maswenga amesema wamepokea taarifa za ajali hiyo leo Jumanne jioni.

“Bado tunahangaika, nafikiri wamepoteza kila kitu kwa maana simu zao hazipo hewani, pia hatuna taarifa zozote kuhusu wao zaidi ya kuambiwa wamewahishwa Bugando,” amesema.

Maswenga amesema Mc Pilipili alialikwa mkoani Shinyanga kwa ajili ya kusherehesha harusi wikiendi iliyopita na alikuwa akisafiri kuelekea Mwanza.


Hivyo makala Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando

yaani makala yote Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mchekeshaji-mc-pilipili-amepata-ajali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali na Kulazwa Bugando"

Post a Comment