title : Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money
kiungo : Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money
Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money
Video vixen Bongo, Gigy Money amekanusha tetesi za kuwa na ujauzito.
“Kipindi cha sasa hivi na Papa ndio nimetoa?, hapana, ujue mpaka yananishtua maneno haya, you know sina mimba lakini labda nina mimba ya Wizkid unajua mimi natamani ikaenda ikashuka tu,” amesema na kuongeza.
“Yeah namkubali, unajua dream sio wote wanatimiza ndoto zao, mimi nimetimiza ndoto yangu, nilisema Tekno moyoni siumeona huyu hapa akajaa,” amesema Gigy Money.
By Peter Akaro
Hivyo makala Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money
yaani makala yote Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/labda-nina-mimba-ya-wizkid-gigy-money.html
0 Response to "Labda nina mimba ya Wizkid – Gigy Money"
Post a Comment