MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI
kiungo : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

soma pia


MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks  ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.

Makamu wa Rais alimhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania itazidi kuimarisha uhusiano wake na nchi ya Uholanzi hasa katika sekta  ya kilimo, elimu na uboreshwaji  wa  mazingira ya uwekezaji ili  kufikia lengo la Tanzania ya Viwanda.

Aidha, Mhe.Balozi aliahidi kuwa mjumbe mzuri wa Tanzania na atarejea mara kwa mara kuja kutembea kwani Tanzania ina watu wema na vivutio vingi vya utalii.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks  ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks  ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks  ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI"

Post a Comment