KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017

KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017
kiungo : KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017

soma pia


KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017


Jengo-la-TFF1
Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Dkt. Paul Marealle ameitisha kikao cha Kamati ya Tiba kitakachofanyika kesho Jumatano Agosti 30, mwaka huu kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Kikao hicho kitakachofanyika Ukumbi wa Ofisi za Makao Makuu TFF, yaliyoko Uwanja wa Kumbukumbu ya Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam kitarejea shughuli zake kwa mujibu wa Katiba ya TFF sambamba na Kanuni zinazoongoza mashindano mbalimbali ya TFF.
Katika kikao hicho, pia kamati itapitia fomu za afya za utimamu wa mwili za wachezaji wote wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL); Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL).
Miongoni mwa majukumu ya kamati hiyo ni kupitisha wachezaji wanaopaswa kucheza/kushiriki katika ligi baada ya kujirisha juu ya utimamu wa mwili wa wachezaji kwa michuano tajwa hapo juu.



Hivyo makala KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017

yaani makala yote KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kikao-cha-kamati-ya-tiba-kufanyika-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017"

Post a Comment