title : KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
kiungo : KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Ismail Ngolinda, akitoa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), alipotembelea banda hilo. Katikati ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, HusseinMansour.
Watafiti wakijadiliana jambo kwenye maonesho hayo. Kutoka kulia ni Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Filbert Nyinondi, Bestina Daniel, mdau wa kilimo, Flaviana, Dk. Emmarold Mneney, Ismail Ngolinda kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ilonga Kilosa mkoani Morogoro na Christina Kidulile.
Hivyo makala KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
yaani makala yote KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-wizara-ya-kilimo-atembelea_3.html
0 Response to "KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI"
Post a Comment