title : JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO
kiungo : JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO
JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Singida katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Singida wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Singida.
………………………………………………………………………..
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amewahamasisha watumishi wa halmashauri ya wilaya Singida kufanyakazi kwa bidii pamoja na kujenga upendo baina yao.
Jafo ametoa kauli hiyo leo asubuhi alipokuwa akipita akitokea katika ziara ya kikazi mkoani Mara.
Akiwa mkoani humo, Jafo amesimama kwa muda mfupi wilayani hapo ili awasalimie na kuwatia moyo katika utumishi wao.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Singida Rashidi Mohamed Mandoa amemshukuru Naibu Waziri Jafo kwa upendo wake wa kusimama wilayani hapo na kukutana na watumishi.
“Kitendo hichi kinawapa hamasa kubwa watumishi kwa kuona kwamba wanathaminiwa na viongozi wao,”amesema Mkurugenzi huyo
Hivyo makala JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO
yaani makala yote JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/jafo-awahamasisha-watumishi-singida.html
0 Response to "JAFO AWAHAMASISHA WATUMISHI SINGIDA KUJENGA UPENDO"
Post a Comment