title : ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa.
kiungo : ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa.
ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico kushoto akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji Utalii Zanzibar Seif Masoud Miskry mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,
Mkurugenzi Ajira katika Wizara ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Mkurugenzi wa ILO kanda ya Afrika Mashariki Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Mmoja kati ya Wanafunzi waliofaulu kuingizwa katika mradi wa Mafunzo kazi kwa Vijana Asia Salum Omar kutoka SUZA akisoma risala kwa niaba ya wenzake katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa hotuba na kuyashukuru baadhi ya mahoteli yaliokubali kuwapokea Vijana ambao wameingia katika Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana katika Ufunguzi wa Mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Muakilishi wa Hoteli ya Breeze /Baraza Nassor Mahrouki akipokea cheti cha Utambulisho katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Muakilishi wa Hoteli ya MELIA Sabra Omar Husein akipokea cheti cha Utambulisho katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi walioingia katika Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
(Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar)
Hivyo makala ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa.
yaani makala yote ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ilo-yatowa-mafunzo-kazi-mradi-kwa.html
0 Response to "ILO Yatowa Mafunzo Kazi Mradi Kwa Vijana Zanzibar Yafunguliwa."
Post a Comment