title : IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
kiungo : IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo, IGP Sirro amewataka askari kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo na kuwataka kufanyakazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akipokea taarifa kutoka kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, SACP Benedict Wakulyamba (aliyesimama), mara alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi
Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-awasili-mkoani-tanga-kwa.html
0 Response to "IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment