title : DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE.
kiungo : DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE.
DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa huduma zote muhimu kwa wananchi wake zikiwemo huduma za afya bila ya ubaguzi.
Dk. Shein aliyasema hayo leo, huko Junguni, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba mara baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake kiswani Pemba.
Katika maelezo yake Dk. Shein alisema kuwa kamwe Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitombagua mtu yoyote kwa itikadi yake ya kisiasa na badala yake itahakikisha wananchi wote Zanzibar wanapata huduma muhimu za maendeleo.
Dk. Shein alisema kuwa mwananchi yeyote anaekwenda kituoni hapo kupata huduma za afya hatabaguliwa kwani yeye ni mwananchi wa Zanzibar na akiwa mzazi atazalishwa kwa kufuata taratibu zote kwa mujibu wa taaluma aliyosomeshwa na Serikali.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA.

Hivyo makala DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE.
yaani makala yote DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dk-shein-serikali-ya-mapinduzi-ya.html
0 Response to "DK. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAITOMBAGUA MTU YOYOTE."
Post a Comment