Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo

Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo
kiungo : Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo

soma pia


Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo

IMG_1218
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (aliyevaa fulana ya kijani) akiwasili kwenye Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) lililopo kwenye Viwanja vya Ngongo, mjini Lindi.
IMG_1219
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) akikaribishwa kwenye Banda la TADB na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (kulia).
IMG_1224
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kulia) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la TADB. Anayemtazama ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (kushoto)
IMG_1230
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (katikati) mara alipotembelea Banda la Benki hiyo. Kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Simon Migangala.
IMG_1245
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kulia) akizungumza na mmoja ya wanufaika wa mikopo ya TADB, Bibi Constancia Andrea (kushoto) kutoka Umoja Cashewnut Group.
IMG_1253Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kulia) akizungumza na viongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), na Mfuko wa Kusaidia Kilimo (PASS) alipotembelea Banda la TADB. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi Mtendaji wa PASS, Bw. Nicomed M. Bohay  (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (wapili kushoto). Wengine ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Simon Migangala (katikati) na Meneja Mikopo wa TADB, Bw. Samuel Mshote (wapili kulia).
…………………….
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amelitembelea Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.

Akiwa katika Banda hilo Dkt. Mpango alionekana kuridhishwa na jitihada za Benki ya Kilimo katika kuchagiza mapinduzi ya kilimo.

Akimpokea Waziri Dkt. Mpango, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga alimjulisha Dkt. Mpango kuwa ndani ya Banda la TADB jumla ya washiriki 14 wanaonesha bidhaa na huduma zao kupitia Benki hiyo ikiwemo wakinamama na vijana.


Hivyo makala Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo

yaani makala yote Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dk-mpango-atembelea-banda-la-benki-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo"

Post a Comment