DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali

DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali
kiungo : DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali

soma pia


DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali

Na Salmin Juma, Pemba

MKUU wa Wilaya ya Wete  Rashid Hadid Rashid , amevitaka vikosi vya ulinzi na usalama kufanya upekuzi kwenye madumu na rumbesa za majani ya ng'ombe ambazo zinadaiwa kutumika kusafirishia karafuu kutoka shehia moja kwenda nyengine.

Amesema njia hizo vinatumiwa kwa lengo la kukwepa kukata kibali cha kusafirishia karafuu jambo ambalo ni kosa kisheria.     
                           
Akizungumza na  wananchi wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya ununuzi wa karafuu, Mkuu wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashid ameviagiza vikosi kuhakikisha mizigo yote inafanyiwa upekuzi ili kudhibiti ujanja unaofanywa na baadhi ya wananchi.

Mkuu huyo wa Wilaya  amewataka wananchi kushirikiana  katika kudhibiti hali hiyo ili kuiwezesha Serikali kufanikisha azma yake ya kulinda karafuu dhidi ya wahujumu wa uchumi wanaojali zaidi maslahi yao .

Naye mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Wete, Hamad Omar Suleiman amesema ni vyema wananchi kufuata sheria bila ya kushurtishwa, ambapo jeshi la Polisi halitakuwa na huruma na atakayekamatwa akifanya udanganyifu huo .

Wananchi hao wameahidi kushirikiana na serikali kwa kutoa taarifa sahihi ambazo zitafanikisha kukamatwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ili wachukuliwe hatua za kisheria lengo ni kukomesha tabia hiyo.


Hivyo makala DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali

yaani makala yote DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dc-wete-ataka-ukaguzi-ufanyike.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC Wete ataka ukaguzi ufanyike kuwadhibiti wasafirishaji karafuu bila kibali"

Post a Comment