title : Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10
kiungo : Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10
Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10
Bondia Floyd Mayweather amemchapa mpinzania wake Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10 kwenye mpambano wao alfajiri ya leo huko Las Vegas, Marekani, ukiwa ni ushindi wake wa 50 bila kushindwa na mara tu baada ya mpambano huo akatangaza kujiuzuru masumbwi.
McGregor, ambaye wengi walimbeza kabla ya pambano, alishangaza wengi kwa kucheza kiweledi na hata vituko ulingoni ambako kuna wakati aliweka mikono nyuma wakati wa mchezo.
Kwenye raundi za awali McGregor alitawala mchezo kwa kumshambulia Mayweather aliyejikuta anajikinga zaidi ya kurudisha makombora. Hata hivyo baadaye hiyo ikaja kugundulika kuwa ni mbinu mbadala kwani mpinzania wake ambaye hakuwahi kucheza masumbwi bali kickboxing alionekana kuchoka na raundi ya 10 refa akasitisha mpambano baada ya kumuona kazidiwa.
BondiaMayweather kajishindia dola za Kimarekani 100 wakati McGregor kaondoka na dola milioni 30. Si haba kwa kazi ya usiku mmoja.
Hivyo makala Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10
yaani makala yote Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/bondia-floyd-mayweather-amtwanga-conor.html
0 Response to "Bondia Floyd Mayweather amtwanga Conor McGregor kwa TKO ya raundi ya 10"
Post a Comment