Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini

Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini
kiungo : Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini

soma pia


Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini




Mganga Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof Mohamemed Kambi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambalo lilipata fursa ya kujadili jinsi ya kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya Afya Tanzania.

Rais wa Kongamano laNne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini, DK Omari Chilo akizungumza kabla ya kumaribisha mgeni rasmi wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la nne la wadau wa sekta hiyo lililofanyika Jijini Dar es Salaam leo.

Kiongozi Mkuu wa HDIF, David McGinty akizungumza katika Mdahalo wa mabadiliko ya Sayansi Ubunifu na Sera katika kuboresha utoaji wa huduma za Afya wakati waKongamano la nne la wadau wa Sekta ya Afya nchini

Mratibu wa wa Kongamano la 4 la Sekta ya Afya nchini Dr Peter Maduke akizungumza wakati wa kongamno hilo likiwa linaendelea katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya Madaktari waliohudhuria Kongamano la Nne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini

Meneja wa Tanzania kutoka kampuni ya Sproxil, Ashok Maurya, akimueleza mmoja wa wadau wa Sekta ya Afya namna ya mradi wa huduma ya simu za mkononi katika sekta ya Afya unavyofanya kazi.

Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka HDIF, Hannah Mwandolomo akitoa ufafanuzi kwa wadau waliofika katika banda la maonesho ya programu hiyo wakati wa Kongamano la nne la wadau wa sekta ya Afya nchini lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Afisa Mkuu wa programu ya DTREE International,Erica Layer akizungumza na wadau wanaofadhiliwana mradi wa HDIF wakati wa Kongamano la 4 la sekta ya Afya nchini


Hivyo makala Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini

yaani makala yote Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/afya-prof-kambi-afungua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Afya : Prof. Kambi afungua Kongamano la Nne la wadau wa Sekta ya Afya Nchini"

Post a Comment