BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA
kiungo : BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA

soma pia


BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA


Benny Mwaipaja, WFM, Mtwara

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeelezea kuridhishwa na kasi pamoja na viwango vya miradi ya ujenzi ya barabara inayofadhiliwa na benki hiyo katika Ukanda wa Kusini, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Tano ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa na wananchi wake.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo anayesimamia Kanda wa Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, baada ya kutembelea na kukagua barabara ya Tunduru-Nangaka-Mtambaswala, mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilometa 202.2.

Barabara hiyo yenye vipande vitatu imejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 180 kupitia ufadhili wa benki hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) na Serikali ya Tanzania.

Dkt. Weggoro amesema kuwa barabara hiyo ambayo upande mmoja inaunganisha Tanzania na Msumbiji, itachochea maendeleo ya wananchi kutoka pande hizo mbili kwa kusafirisha watu na bidhaa kwa urahisi zaidi.

“Nimeona mabadiliko makubwa sana, si tu kwa barabara, lakini maisha ya watu, mabadiliko ambayo ni dhahiri yanatokana na hii miradi ya barabara ambayo imefungua fursa nyingi za maendeleo, watu wanafanyabiashara lakini pia wanatembeleana!” alisema Dkt. Weggoro.

Alitoa wito kwa Watanzania kuchangamkia fursa ya uwepo wa barabara hizo kujiletea maendeleo kwa kufanyabiashara hivyo kujikwamua kiuchumi.

Mhandisi Heldaus Jerome kutoka Wakala wa Barabara -Tanroads, Makao Makuu, alisema kuwa barabara hiyo ya Tunduru-Mangaka-Mtambaswala, ina vipande vitatu, kutoka Mangaka – Nakapanya (km 70.5), Nakapanya – Tunduru (66.5) na Mangaka – Mtambaswala (km 65.5)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA

yaani makala yote BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/benki-ya-maendeleo-ya-afrika-afdb.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAKUNWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA MTWARA"

Post a Comment