title : Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi, Mazingira na Uchumi wa Taifa lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania na kufanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Profesa Mark Mwandosya kwa zawadi ya kitabu mara baada ya ufunguzi wa Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi, Mazingira na Uchumi wa Taifa lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania na kufanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi, Mazingira na Uchumi wa Taifa lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania na kufanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam
Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi, Mazingira na Uchumi wa Taifa lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania na kufanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Hivyo makala Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-afungua.html
0 Response to "Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Afungua Kongamano la Ngazi za Juu la Mabadiliko ya Taiba Nchi Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment