WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
kiungo : WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

soma pia


WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

Kituo Kikuu cha Mabasi, Dodoma
Bw. Justin Kisoka, Mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye amebobea katika masuala ya uchumi akitoa somo namna vijana wa Kitanzania watakavyoweza kuuza bidhaa zao ndani ya soko la Afrika Mashariki lenye nchi sita na idadi ya watu wanaofikia milioni 165. 
Mfanyabiashara akielezwa namna bidhaa zake ambazo amezibeba kichwani atakavyoweza kuziuza katika nchi za Afrika Mashariki na kupata faida kubwa.

Ujumbe wa kutaka vijana na Watanzania kwa ujumla wazinduke ili wanufaike na soko la Afrika Mashariki ulifikishwa kwa njia tofauti ikiwemo sanaa ya maigizo.

Baadhi ya watu waliojitokeza kupata mbinu za kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hapa ilikuwa Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Dodoma.


Gandhi Hall , Mwanza 

Bw. Justin Kisoka akiwa kwenye bustani ya Gandhi Hall mjini Mwanza akitoa somo namna Wanamwanza watakavyoweza kuuza Sato, Sangara na bidhaa nyingine katika soko la Afrika Mashariki.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

yaani makala yote WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wizara-ya-mambo-ya-nje-yanadi-miraani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI"

Post a Comment