title : WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA
WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania inashiriki Maonesho ya 41 ya Viwanda na Biashara maarufu kama “Sabasaba” ambapo mamia ya wateja wameoneshwa kufurahishwa na kujiunga na huduma mpya inayojulikana kama “RED RLX” ikiwa ni miongoni mwa huduma nyingi zinatolewa bandani hapo.
Huduma hii ni mpango unaojumuisha vifurushi na kulipa kadri mteja atumiavyo na lengo ni kuwafanya wateja wa Vodacom waishi bila wasiwasi linapokuja suala la mawasiliano.
Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na pia dakika za kupiga simu nje ya nchi. Wakati mteja anaponunua kifurushi cha RED, anaweza kuchagua huduma ya kifurushi cha kujirudia (kujinunua tena) kila kinapoisha muda wake au kununua mara moja tu.
Hivyo makala WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wateja-wa-vodacom-waichangamkia-red-rlx.html
0 Response to "WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment