WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO
kiungo : WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO

soma pia


WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO

Picha no. 1
Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wafanyakazi wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Picha no. 2
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Picha no. 3
Wawezeshaji wa kuandaa  mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miaka mitano kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe wakimsililiza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha no. 4
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. AndrewMbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
 Picha na JKCI.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wafanyakazi-wa-taasisi-ya-moyo-jakaya_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO"

Post a Comment