WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA

WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA
kiungo : WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA

soma pia


WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA

Mwambawahabari
1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akipata chakula na manahodha na mabaharia wa meli ya MV Liemba inayofanya safari katika Ziwa Tanganyika.
2
Muonekano wa meli kongwe ya MV. Liemba ikiwa imetia nanga katika bandari ya Kigoma, meli hiyo imeatkiwa kuongeza safari zake kutoka awamu tatu hadi kumi kwa mwezi.
…………………………………………………………………..
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, amewataka manahodha na mabaharia wa meli ya MV. Liemba kufanyakazi kwa ubunifu na uadilifu ili kuiwezesha meli hiyo kujiendesha kibiashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa meli hiyo Prof. Mbarawa, ameelezea kuridhishwa na mabadiliko yanayoendelea katika meli hiyo na kuwataka wasibweteke bali waongeze ubunifu.
“Hakikisheni mnatoa huduma bora kwa wateja wenu na kupata faida ili serikali na wadau wengine wawaamini na kutumia huduma yenu”, amesisitiza Prof. Mbarawa.
Waziri Prof. Mbarawa ameitaka meli hiyo kuongeza safari zake kutoka awamu tatu hadi kumi kwa mwezi ili kuhuisha huduma za usafiri na uchukuzi katika Ziwa Tanganyika.  
Prof. Mbarawa ambaye yuko katika ziara ya ukaguzi wa miundombinu mkoani Kigoma amepata fursa ya kukagua utendaji wa meli ya MV. Liemba, kupata chakula cha pamoja na wafanyakazi wake katika meli hiyo na hatimae kutoa maelekezo kwa manahodha na mabaharia wa meli hiyo kongwe hapa nchini.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wafanyakazi-wa-mv-liemba-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA"

Post a Comment