title : Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe
kiungo : Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe
Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe
Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (kulia) akimpa mkono wa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati walipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, kulia ni aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu na kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe.
Hivyo makala Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe
yaani makala yote Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/viongozi-na-wananchi-mbalimbali.html
0 Response to "Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe"
Post a Comment