title : UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
kiungo : UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
Katika pita pita ya leo, Kamera ya Glogu ya Jamii imezinasa taswira za vijana hawa (majina yao hayakupatikana kwa haraka) wakiwa katika eneo la Bonde la Jangwani jijini Dar es salaam wakivua samaki ambao haikufahamika kwa haraka ni wa aina gani, katika maji mengi yaliyotuwama katika eneo hilo. Uvuvi wa aina hii katika maji hayo unaweza kuhatarisha afya yao kwa kupata magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu na Kichocho.
Vijana hao wakiendelea kusaka vitoweo.
Wakitega nyavu.
Hivyo makala UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
yaani makala yote UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/uvuvi-usio-rasmi-katika-bonde-la.html
0 Response to "UVUVI USIO RASMI KATIKA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR"
Post a Comment