Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu

Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu
kiungo : Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu

soma pia


Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu


Na Ferdinand Shayo,Arusha.

Diwani wa kata ya Murriet kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kredo  Kifukwe ametangaza kujiuzulu rasmi katika Nafasi ya Udiwani wa kata hiyo iliyoko Wilaya ya Arusha mkoani Arusha .

Kredo ameeleza kuwa ameamua kuchukua uamuzi huo ili aweze kutumikia jamii kama raia mwema bila kuegemea upande wowote kisiasa  lakini pia amesema kuwa juhudi zinazofanywa na Raisi John Pombe Magufuli zimemfanya ajiuzulu kwani haoni sababu ya kuendelea kumpinga kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulitumikia taifa bila kujali itikadi za kisiasa.

Diwani huyo aliyejiuzulu amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kujiunga na chama chochote cha siasa kwani ataendelea kuwa raia mwema na kuitumikia jamii yake pamoja na taifa huku akiendelea kuunga mkono juhudi za Rais.
Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Arusha Injinia Gaston Pascal amethibitisha kupokea taarifa za kujiuzulu kwa diwani huyo ambaye aliwasilisha barua ya kujiuzulu katika Ofisi za Mkurugenzi kwa mujibu wa sheria hivyo watafikisha taarifa kwa tume ya uchaguzi ili uchaguzi uweze kufanyika kuziba pengo hilo.


Hivyo makala Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu

yaani makala yote Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-diwani-wa-chadema-muriet.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Diwani wa CHADEMA Muriet Ajiuzulu"

Post a Comment