title : Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro.
kiungo : Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro.
Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe Mohammed Bacar Dossari akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu baada ya mazungumzo yao wakati wa ziara yao ya Kiserikali Nchini Comoro kukuza Uhusiano baina ya Zanzibar na Comoro.
Gavana wa Mji wa Ngazija Mhe.Mohammed Bakar akipokea zawadi ya mlango wa Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu. wakati wa hafla yao yac ziara ya kiserikali kutembelea Nchini Comoro.
Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Comoro baada ya mazungumzo ya pande mbili hizo kukuza ushirikiano Kati ya Zanzibar na Comoro Ujumbe huo wa Zanzibar unaongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu.
Hivyo makala Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro.
yaani makala yote Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ujumbe-wa-zanzibar-wanaendelea-na-ziara.html
0 Response to "Ujumbe wa Zanzibar Wanaendelea na Ziara Yao Nchini Comoro."
Post a Comment