TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA

TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA
kiungo : TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA

soma pia


TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Mohamed Mpinga akionyesha tuzo ya balozi bora wa usalama barabarani, aliyokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga(kushoto) wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa mabalozi hao,wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi  Kamishna Msaidizi wa  Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu(kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya  usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto  ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi  Mkurugenzi wa Barabara wa Mamlaka ya Usimamizi wa Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA), Johansen Kahatano (kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya  usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto  ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga (wakwanza  kushoto waliokaa) na Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani mara baada ya kutunukiwa vyeti ikiwa ni utambuzi wa mchango wao katika masuala ya usalama barabarani,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 Mgeni Rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) kuingia ukumbini wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.


Hivyo makala TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA

yaani makala yote TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/tuzo-za-mabalozi-wa-usalama-barabarani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA"

Post a Comment