Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day.

Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day.
kiungo : Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day.

soma pia


Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day.

Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu July 17, 2017 kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Negro FC inayoshiriki ligi daraja la Pili Taifa imeweza kuweka wazi majina ya awali ya baadhi ya wachezaji ambao hawataitumikia katika msimu ujao wa 2017/2018.

Negro ambayo msimu uliopita ilikua na kikosi bora kabisa ambacho kwa bahati mbaya kilishindwa kupanda Daraja la Kwanza Taifa na kusalia hapo hapo katika Daraja la Pili Taifa, lakini msimu huu kimepania kufanya kweli.

Kutokana na ripoti ya Benchi la Ufundi iliyowasilishwa mwishoni mwa Mwezi June, 2017 baadhi ya wachezaji hawataitumikia tena Negro kwenye msimu ujao baada ya kuachwa huru, wachezaji hao wapo huru kujiunga vilabu mbalimbali:

Wachezaji hao ni:
1. Abdul razak Omar Mohd (Bile)
2. Ibrahim Khamis Ame (Bura)
3. Vuai Ali Simai
4. Juma Abeid Rajab (Okocha)
5. Omar Othman Omar
6. Abubakar Iddi Myaa
7. Fahim Khalfan Hemed (Dame)
8. Masemo Makungu Masemo
9. Muhidin Thabit

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa timu hiyo Hussein Ahmada hii ni orodha ya awali ya wachezaji ambao hawataitumikia Negro FC msimu ujao, huku zoezi la usajili likiendelea kujaza baadhi ya nafasi zilizopo kulingana na maelekezo ya Benchi la Ufundi, Benchi ambalo kwasasa linaongozwa na kocha Mohammed Salah (Richkard) akichukua nafasi ya kocha ya Hassan Abdul rahman.


Hivyo makala Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day.

yaani makala yote Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/timu-ya-negro-yawaacha-wachezaji-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya Negro Yawaacha Wachezaji Wake Zaidi ya 10 Pamoja na Kocha Wao. Wamepania Kuwatangaza Wachezaji Wapya Siku Yao Maalumu ya Negro Day."

Post a Comment