Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.

Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.
kiungo : Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.

soma pia


Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.

Mjumbe wa Wadi ya Makunduchi ndugu Mohamed Muombwa (hayupo kwenye picha) alihudhulia mafunzo ya wafuga nyuki wa Manispaliti ya Sundsvall. Somo lililotolewa ni umuhimu wa kupanda maua wanayopenda nyuki Karibu na mizinga ya nyuki.
Diwani wa Wadi ya Makunduchi bi Zawadi alimkabidhi pia bwana Pinheiro mwenyekiti wa Kamari ya Elimu ya Baraza la Manispaliti zawadi ya pilipili manga kwa ajili ya kutangaza viungo vya Zanzibar nchini Sweden
Sheha mstaafu wa shehia ya Mzuri Kaja mwalimu Mwita Masemo akibadilishana mawazo na mwalimu wa uchoraji ndani ya jengo la Manispaliti ya Sundsvall ambamo ndani yake mlikuwa na maonyesho ya kazi za Sanaa.


Hivyo makala Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.

yaani makala yote Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/jjumbe-wa-wadi-ya-makunduchi-waendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden."

Post a Comment