title : Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya
kiungo : Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya
Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya
Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Innocent Shiyo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo ya pamoja kuhusu mahusiano ya kibiashara kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga (hayupo pichani) wakati akitoa ufafanuzi kuhusu mazungumzo ya pamoja kuhusu mahusiano ya kibiashara kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo ya pamoja kuhusu mahusiano ya kibiashara kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Innocent Shiyo na kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya nchini Tanzania Peter Sang.
Picha na Eliphace Marwa -Maelezo
Hivyo makala Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya
yaani makala yote Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/taarifa-ya-ufafanuzi-toka-wizara-ya.html
0 Response to "Taarifa ya Ufafanuzi Toka Wizara ya Mambo ya Nje Juu ya Uhusiano wa Kibiashara na Serikali ya Kenya"
Post a Comment